Elizaberth
Michael 'Lulu' amefunguka kuwa wasanii wa kike wa filamu bongo wana
biashara nyingine iliyojificha ndani ya ile ya filamu ambayo inawalipa
zaidi.
Lulu amepasua kuwa hao wanaowategemea mapedeshee kuendesha maisha yao huku huku wengi wakiamini kwamba mabinti hao wa Bongo Movie wanalipwa vizuri kutokana na n filamu wanazoigiza.
"
Ukweli haupo hivyo hali hii inatokana na wengi wetu kudumaa na hatuwezi
kufanya mambo makubwa kwa kuigiza na wasanii wakubwa lakini hakuna
anayeliona hili" alifafanua
Hakuna anayefikilia kuigiza na wasanii wa kimataifa kama Ritha Dominic ili sanaa ilimlipe mna wengi wanategemea Mapedeshee au biashara zisizo rasmi, kwani filamu inaonekana ipo juu lakini wahusika wake wanalipwa kwa staili nyingine kabisa" alisema Chanzo: Mwanaspoti
Lulu amepasua kuwa hao wanaowategemea mapedeshee kuendesha maisha yao huku huku wengi wakiamini kwamba mabinti hao wa Bongo Movie wanalipwa vizuri kutokana na n filamu wanazoigiza.
"
Ukweli haupo hivyo hali hii inatokana na wengi wetu kudumaa na hatuwezi
kufanya mambo makubwa kwa kuigiza na wasanii wakubwa lakini hakuna
anayeliona hili" alifafanuaHakuna anayefikilia kuigiza na wasanii wa kimataifa kama Ritha Dominic ili sanaa ilimlipe mna wengi wanategemea Mapedeshee au biashara zisizo rasmi, kwani filamu inaonekana ipo juu lakini wahusika wake wanalipwa kwa staili nyingine kabisa" alisema Chanzo: Mwanaspoti

إرسال تعليق