Waandamanaji Ufaransa
Rais Hollande aliungana pia na Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu,katika Sinagogi la Grand kuomboleza kwaajili ya waathirika wane wa shambulizi la kigaidi katika Supermarket . Netanyahu alimshukuru mmiliki wa Supermarket iliyoshambuliwa Lassana Bathily kwa jitihada zake katika kuwaokoa mateka waliokuwa ndani ya jingo hilo.
Mfalme
wa Jordan na Rais wa Palestinian Mahmoud Abbas ni baadhi ya viongozi
kutoka Mashariki ya kati walioshiriki katika maandamo yaliyofanyika
mjini Paris Ufaransa kulaani shambulio la kigaidi lililofanyika.
Morocco
haijawasilisha uwakilishi wa salam za rambi rambi kutokana na msimamo
wake tofauti na mwenendo wa Gazeti la Charlie Hebdo kutokana na vibonzo
ambavyo vimekuwa vikichorwa hasa vile vinavyolenga masuala ya kidini.Rais Hollande aliungana pia na Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu,katika Sinagogi la Grand kuomboleza kwaajili ya waathirika wane wa shambulizi la kigaidi katika Supermarket . Netanyahu alimshukuru mmiliki wa Supermarket iliyoshambuliwa Lassana Bathily kwa jitihada zake katika kuwaokoa mateka waliokuwa ndani ya jingo hilo.

إرسال تعليق