MAMA AWAKABA WATOTO WAKE 2 NA KUWAUA TABORA

Picha inamuonyesha mwenyekiti wa mtaa Bakari akielezea jinsi tukio lilivyotokea na wa kwanza kufika pale na kuwauliza watoto wako wapi huku zuhura alikuwa anakula pipi kwa madai ya mwenyekiti huyu wa mtaa waBakar kata ya chemchem Tabota leo
Mwanamke mmoja  alitambulika kwa jina Zuhura Sudi mkazi wa Bakari kata ya chemchem Tabora amewauwa watoto wake kwa kuwakiaba hadi kufa na kuwazika kwa kutumia kuchimba mashimo  mawili katika nyumba yake kwa kila chumba kuchimba shimo moja
Watoto hao  mmoja ana miaka 4 mkubwa na mdogo ni Miezi 4 baadhi ya majirani walipofika nyumbani kwa Zuhura walimuuliza kwamba watoto wako wapi hatujawaona leo kutokana na majibu ambayo majirani walikuwa na wasiwasi ndipo walipoingia ndani na kukuta mashimo yamefukiwa ndiponmajirani kuwa na mshituko walipeleka habari polisi na walipoamua kufukua wakaonekana watoto hao wamesha kufa wajirani hao wakidai zuhura Sudi anaupungufu wa akili  polisi inamshikilia mama huyo

Post a Comment

Previous Post Next Post