Mwanamke mmoja alitambulika kwa jina Zuhura Sudi mkazi wa Bakari kata
ya chemchem Tabora amewauwa watoto wake kwa kuwakiaba hadi kufa na
kuwazika kwa kutumia kuchimba mashimo mawili katika nyumba yake kwa
kila chumba kuchimba shimo moja
Watoto hao mmoja ana miaka 4 mkubwa na mdogo ni Miezi 4 baadhi ya majirani walipofika nyumbani kwa Zuhura walimuuliza kwamba watoto wako wapi hatujawaona leo kutokana na majibu ambayo majirani walikuwa na wasiwasi ndipo walipoingia ndani na kukuta mashimo yamefukiwa ndiponmajirani kuwa na mshituko walipeleka habari polisi na walipoamua kufukua wakaonekana watoto hao wamesha kufa wajirani hao wakidai zuhura Sudi anaupungufu wa akili polisi inamshikilia mama huyo

إرسال تعليق