MSANII wa sinema za Kibongo, Manaiki Sanga ametangaza nia ya kutaka
kwenda kupeleka posa kwa staa wa sinema, Jacqueline Wolper, kwa madai
kuwa anampenda sana.Akizungumza na mwandishi wetu, Manaiki alisema hapa
Bongo wanaume wengi hawajui wanawake wazuri lakini kwa upande wake
ameona uzuri wa Wolper ni pambo la moyo wake, atapeleka barua nyumbani
kwao.
Msanii wa sinema za Kibongo, Manaiki Sanga akipozi na staa mwenzie, Jacqueline Wolper.
“Ni maoni yangu, mwaka huu mwanzoni napeleka posa kwa wazazi wa Wolper naamini ndiye mwanamke ambaye anafaa kuwa mke wangu labda tu tatizo kubwa liwe kwake lakini siwezi kubadilisha nia yangu,” alisema Manaiki ambaye anatarajia kutoa filamu yake inayoitwa AMKA aliyowashirikisha mastaa kibao kama Kajala, Majuto, Hemed, Mlela na wengine kibao

Post a Comment