Hii inaweza kuwa ni Mara ya kwanza kuisikia ila huko Uganda kwa mara ya
kwanza wakati wa siku kuu za mwaka mpya wakati wengine wakiwa kanisani
huko sehemu inayoitwa Mukono limefanyika tamasha la kukisiana ambalo
liliitwa The kissing festival , ambapo watu hushindana kukiss na mpenzi
ama rafiki yako..Tamasha hilo limekuwa Gumzo sana nchini humo na
lilivuta hisia za watu wengi sana wakiwemo pia waliolipinga na kusema
halina maadili katika jamii..
Soon Tamasha Hili Litakuja Bongo , Trust Me.
Soon Tamasha Hili Litakuja Bongo , Trust Me.

إرسال تعليق