Cristiano Ronald
Wachezaji watatu waliobaki kwenye fainali ni pamoja na Christiano Ronaldo ambaye ni mchezaji wa timu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno.
Mwingine ni Lionel Messi mshambuliaji wa Barcelona na mchezaji wa timu ya taifa ya Argentina.
Na wa tatu ni Manuel Neuer Mlinda mlango wa Bayern Munich ambaye pia hudakia timu yake ya taifa ya Ujerumani.
Tuzo
ya mchezaji Bora wa dunia wa Fifa kwa mwaka 2014 inatarajiwa kutangazwa
leo ambapo tayari wachezaji watatu wamechujwa ili kuania tuzo hiyo
inayojulikana kwa jina la FIFA Ballon d'Or 2014
Lionel Messi

Post a Comment