Korongo
kubwa lililopo katikati ya kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani
linalotishia usalama wa watumiaji wa kituo hicho pamoja na magari.
Baadhi
ya mawe yaliyotegwa na mawakala na wapiga bede kwenye lango la
kuingilia kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani cha mjini Singida, kwa
lengo la kuishinikiza manispaa iweze kuboresha miundo mbinu
iliyoharibiwa na mvua zinazoendela kunyesha hivi sasa.
Baadhi
ya askari polisi waliofika kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani
kutuliza mgomo uliofanywa na mawakala na wapiga debe kuzuia mabasi na
magari mengine kuingia kwenye kituo hicho kilichopo Misuna mjini
Singida.(Picha zote na Nathaniel Limu)
إرسال تعليق