Siku
ya leo ikuluwa si shwari kwa wenye magari waishio maeneo ya Goba
kutokana na mvua iliyonyesha kuanzia usiku wa leo na asubuhi na
kusababisha usumbufu kwa wenye magari kutokana na utelezi mkubwa
uliosababishwa na udongo wa mfinyanzi na matengezo ya barabara hiyo
iliyochombwa kwa ajili ya kutengenezwa lami.
Msululu wa magari ukutelemka kwa shida kwa mwendo wa minyato kutokana na utelezi....
Hapa ni eneo la Bamaga nako hali ilikuwa tete maji yakiwa yamejaa na kuziba mitaro
Hapa ni eneo la TMJ ukichimbwa mtaro kwa ajili ya maji..
إرسال تعليق