Waziri kiongozi mstaafu ambae pia ni Muakilishi wa Jimbo la
Mwenakwerekwe Shamsi Vuai Nahodha akikunjuwa kitambaa ikiwa ni ishara ya
Ufunguzi wa Skuli ya Sekondary ya Jumbi Wilaya ya kati Unguja ikiwa ni
shamra shamra za maadhimisho ya miaka 51ya mapinduzi ya Zanzibar.Nyuma
yake ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Zahra Ali
Hamad.
Waziri kiongozi mstaafu ambae pia ni Muakilishi wa Jimbo la
Mwenakwerekwe Shamsi Vuai Nahodha akikata utepe ikiwa ni isharaya
Ufunguzi wa Skuli ya Sekondary ya Jumbi Wilaya ya kati Unguja ikiwa ni
shamra shamra za maadhimisho ya miaka 51ya mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri kiongozi mstaafu ambae pia ni Muakilishi wa Jimbo la
Mwenakwerekwe Shamsi Vuai Nahodha akitembelea maeneo mbalimbali ya Skuli
ya Sekondari ya Jumbi Wilaya ya kati Unguja baada ya kuifungua.Kushoto
yake ni Mwalimu Mkuu wa Skuli hiyo Juma Vuai Mshamba.
Waziri kiongozi mstaafu ambae pia ni Muakilishi wa Jimbo la
Mwenakwerekwe Shamsi Vuai Nahodha wakwanza kulia akiangalia Madawati
yaliomo katika moja ya madarasa ya Skuli ya Sekondary ya Jumbi Wilaya ya
kati Unguja baada ya kuifungua,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya
miaka 51ya mapinduzi ya Zanzibar.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zahra Ali Hamad.akitoa
hotuba ya makaribisho kwa Waziri kiongozi mstaafu ambae pia ni
Muakilishi wa Jimbo la Mwenakwerekwe Shamsi Vuai Nahodha katika ufunguzi
wa Skuli ya Sekondary ya jumbi Wilaya ya kati Unguja baada ya
kuifungua,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 51ya mapinduzi
ya Zanzibar.
Waziri kiongozi mstaafu ambae pia ni Muakilishi wa Jimbo la
Mwenakwerekwe Shamsi Vuai Nahodha akitoa hotuba katika ufunguzi wa Skuli
ya Sekondary ya jumbi Wilaya ya kati Unguja baada ya kuifungua,ikiwa ni
shamra shamra za maadhimisho ya miaka 51ya mapinduzi ya Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
إرسال تعليق