MCHEZA filamu za Kibongo Jennifer Kyaka ‘Odama’, amedai kuwa mwanaume
ambaye anaweza kumuoa jambo la kwanza lazima atambue kuwa yeye anafanya
filamu kwa muda mrefu hivyo hawezi kuacha kazi yake kwa sababu ya
kuingia kwenye ndoa.
Mcheza filamu za Kibongo Jennifer Kyaka ‘Odama’.
Odama alifungua kinywa chake baada ya kuzungumza na paparazi wetu, ambapo alidai kuwa haiwezi kutokea kuacha kufanya filamu ili amridhishe mwanaume kwani maisha yake yamekuwa yakiendeshwa na kazi hiyo kwa muda mrefu.
“Naamini kuwa yule ambaye atakuja kwa nia ya kunioa kwanza lazima atambue kuwa nafanya filamu, sitahitaji anieleze jambo la kuacha kazi yangu, mimi ni mwanamke ambaye nahitaji kupata maendeleo kupitia kazi zangu,” alisema.
Na Laurent Samatta/GPL

Post a Comment