KIONGOZI wa
kanisa katoliki, Papa Francis ameteua
makadinali wapya 20.
Makadinali hao
wametoka maeneo tofauti duniani wakiwamo kutoka nchi za Tonga, Ethiopia na
Myanmar.
Kumi na tano katyi ya hao wapya
wapo chini ya miaka 80 ikimaananisha kwamba wao watakuwa katika nafasi ya mmoja
wao kuchaguliwa kuwa papa.Kiongozi huyo amesema uteuzi huo kutoka nchi 14 kutoka kila bara unaonesha uhusiano wa karibu uliopo kati ya Vatican na kanisa katoliki duniani.
Makadinali hao watasimikwa Februari 14 mwaka huu.
Aidha papa amesema kwamba ataongoza mkutano wa makadinali wote Februari 12 na 13 mabadiliko katika undeshaji wa utawala Vatican.
Makadinali wapya ni
hawa hapa
- Archbishop Dominique Mamberti (France)
- Archbishop Manuel Jose Macario do Nascimento Clemente (Portugal)
- Archbishop Berhaneyesus Demerew Souraphiel (Ethiopia)
- Archbishop John Atcherley Dew (New Zealand)
- Archbishop Edoardo Menichelli (Italy)
- Archbishop Pierre Nguyen Van Nhon (Vietnam)
- Archbishop Alberto Suarez Inda (Mexico)
- Archbishop Charles Maung Bo (Myanmar)
- Archbishop Francis Xavier Kriengsak Kovithavanij (Thailand)
- Archbishop Francesco Montenegro (Italy).
- Archbishop Daniel Fernando Sturla Berhouet (Uruguay)
- Archbishop Ricardo Blazquez Perez (Spain).
- Bishop Jose Luis Lacunza Maestrojuan (Panama)
- Bishop Arlindo Gomes Furtado, (Capo Verde).
- Bishop Soane Patita Paini Mafia (Tonga)
- Archbishop emeritus Jose de Jesus Pimiento Rodríguez (Colombia)*
- Titular Archbishop Luigi De Magistris (Italy)*
- Titular Archbishop Karl-Joseph Rauber (Germany)*
- Archbishop emeritus Luis Hector Villalba (Argentina)*
- Bishop emeritus Julio Duarte Langa (Mozambique)*
*
Cardinal emeritus, without voting rights
إرسال تعليق