Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, akisalimiana na
Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein, wakati
wa sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar kwenye uwanja
wa Aman, leo Jumatatu Januari 12, 2015
JK, akisabahiananna Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi, a.k.a "Mzee Rukhsa"
JK akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad
JK akisaliamiana na REais Mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Benjamin Mkapa, "Mzee wa uwazi na Ukweli"
JK akisalimiana na Mama Fatma Karume, mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Abeid Aman Karume

إرسال تعليق