PICHA/TUKIO:- AMCHINJA MPENZI WAKE MPAKA KUFA KISA WIVU WA MAPENZI

 Mwili wa Msichana anaedaiwa kuchinjwa na mpenzi wake leo jioni maeneo ya Manzese Friends Corner ukitolewa katika eneo la tukio
Kijana anaetuhumiwa kumchinja mpenzi wake sababu ya wivu wa mapenzi akiwa amepandishwa katika gari la Polisi akipelekwa kituoni huku akitokwa na damu shingoni baada ya kujaribu kujiua kwa kutumia kisu.Picha na (Mjengwa Blog)

Post a Comment

Previous Post Next Post