Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza wakati alipoweka jiwe la Masingi la
Shule ya Sekondari ya Kibuteni ya Zanzibar ikiwa ni moja ya ya
shughuli za Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar Januari 10, 2015. Kulia
kwake ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamhuna. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali
wa Zanzibar,Ali Juma Shamhuna (wapili kulia) baada ya kuweka jiwe la
Masingi la Shule ya Sekondari ya Kibuteni ya Zanzibar ikiwa ni
moja ya ya shughuli za Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar Januari 10,
2015.

Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kutoka kwa Mhandishi Anolf Kileo
(kulia) wa Kampuni ya United Builders kuhusu michoro ya majengo ya
madarasa, mabweni, ukumbi na nyumba za walimu za Shule ya Sekondari ya
Kibuteni ya Zanzibar baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa shule
hiyo ikiwa ni moja ya shughuli za sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar
Januari 10, 2014 , Kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali
Juma Shamhuna. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

إرسال تعليق