Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) wakati
alipojumuika na Mashekhe, Viongozi na Waislamu mbali mbali katika
sherehe za Maulidi ya Kuzaliwa kwa Bwana Mtume Muhmmad S.A.W
yaliyofanyika jana katika viwanja vya Maisara Suleiman Mjini
Unguja,(pichani) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akitia
ubani kama ishara ya Ufunguzi wa Maulid hayo,[Picha na Ikulu.]
Mke wa Makamo wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mama Zakia Bilali (katikati) akiwa na Wake wa
makamo wa Pili wa rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi (kushoto) na
Mama Pili balozi Seif (kulia) pamoja na Wake wa Viongozi mbali mbali na
wananchi wa kawaida wakijumuika katika sherehe za Maulidi ya Kuzaliwa
kwa Bwana Mtume Muhmmad S.A.W yaliyofanyika jana katika viwanja vya
Maisara Suleiman Mjini Unguja ambapo hufanyika kila ifikapo mwezi kumi
na moja mfunguosita,[Picha na Ikulu.]
Akina Mama kutoka mitaa mbali mbali ya
Mji wa Unguja na Vitongoji vyake wakiwa katika viwanja vya Maisara
Suleiman Mjini Unguja palipofanyika sherehe za Maulidi ya Kuzaliwa kwa
Bwana Mtume Muhmmad S.A.W ambapo hufanyika kila ifikapo mwezi kumi na
moja mfunguosita na mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, [Picha na Ikulu.]
Ustadh salum Rashid kutoka Amani
Wilaya ya Mjini Unguja akisoma Mlango wa Barzanji(4) wakati wa sherehe
za Maulid Matukufu ya kuzaliwa bwana Mtume Muhammad (S.A.W.)
zilizofanyika jana katika viwanja vya Maisra Suleiman Mjini Unguja mbele
ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein na Mufti Mkuu wa
Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (katikati) Makamo wa Kwanza wa Rais
Maalim Seif Sharif,Kadhi Mkuu wa zanzibar Sheikh Khamis Haji (kulia)
Waziri wa katiba na Sheria Abubakar Khamis Bakary akifuataiwa na makamo
wa Pili wa Rais Alhaj Seif Ali Iddi wakisimaa kwa pamoja na waislamu
wengine na Viongozi wakati wa Kumswalia Bwana Mtume Muhammad
S.A.W.katika sherehe ya Maulid iliyofanyika jana viwanja vya Maisra
Suleiman Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Wanafunzi wa Vyuo mbali mbali vya Quran
na Waislamu mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za Maulid ya
kuzaliwa Bwana Mtume Muhammad S.A.W zilizofanyika jana katika Viwanja
vya Maisara Suleiman Mjini Unguja kama wanavyoonekanwa Pichani,[Picha na
Ikulu.]
Post a Comment