Siku Mbili tu. Baada ya profesa Sospeter Muhongo kujihuzuru nafasi ya
waziri wa nishati na madini hii JanaTume ya Ramani na Madini Miamba na
Mawe Duniani yenye makao makuu nchini Uingereza imemteua profesa Muhongo
kuwa mtendaji mkuu wa tume hiyo pia atafanya kazi kwenye kampuni
inayopasua miamba diniani kama mwenyekiti.
~Source: William Malecela Blog
Siku Mbili Baada ya Prof. Muhongo Kujiuzulu Tume ya Ramani na Madini Duniani Yamteua Kuwa Mtendaji Mkuu wa Tume Hiyo
Hisia
0
.jpg)
إرسال تعليق