Akiongea na mwandishi wetu, Lulu alisema, amegundua kuwa kila
kitu kinatakiwa kifanywe kama kazi na yeye atakuwa akifanya kazi yake ya
kuigiza tu na si vinginevyo.
“Napenda kuwa msanii na ninaamini mimi ni msanii, niweke wazi kwamba
mimi katika maisha yangu sitarajii kuja kuwa dairekta au script writer
wala kuja kufanya kazi nyingine yoyote zaidi ya kuigiza
.
“Asilimia kubwa ya wasanii hapa kwetu hatuwazi mbali, chochote
tunachofanya tunaona ni sawa tu hatupo kibiashara kwa sababu bado ni
masikini ndiyo maana wengine wanaigiza ili waonekane, tubadilike,”
alisema Lulu.
Post a Comment