MWIGIZAJI
wa sinema za Kibongo, Tiko Hassan amesema hakuna kauli ambayo haipendi
kama kuambiwa si hodari wa mapenzi (gogo) wakati anajiamini yupo vizuri
katika sekta hiyo.
“Wee nani kasema? Sipendi kuitwa hivyo wakati mwenyewe najijua kabisa ninakuwaje pindi ninapokuwa na mpenzi wangu, najiamini kweli,” alisema Tiko.
Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Tiko Hassan.
Tiko alifunguka kauli hiyo alipokuwa akifanya mahojiano na paparazi
wetu na lilipofika suala la malovee, Tiko aling’aka vibaya mara baada ya
kuambiwa kuwa kuna marafiki zake wanamuita gogo.“Wee nani kasema? Sipendi kuitwa hivyo wakati mwenyewe najijua kabisa ninakuwaje pindi ninapokuwa na mpenzi wangu, najiamini kweli,” alisema Tiko.

إرسال تعليق