Wasanii maarufu wa muziki nchini wanaoguswa na hali ya elimu nchini
Tanzania wameachilia video ya kipekee ya wimbo wa Tokomeza Zero wenye
lengo la kuelimisha, kuburudisha na kuitaka jamii nzima kuipa kipaumbele
sekta ya elimu. Wimbo huo umeimbwa na Mwasiti, Linah, Roma, Stamina,
Maunda Zorro, Peter Msechu, Mwana FA, Linex, Keisha, Diamond, Kala
Jeremiah.
إرسال تعليق