Ujumbe wa Mwaka Mpya Kutoka kwa Esther Charles

Mwambie MUNGU shida na malengo yako sasa nae atafanya sawa sawa na mapenzi yake,but ufanye mwaka huu kuwa mwaka wa kuwajibika kwa Kufanya kazi zaidi ya miaka yote iliyopita, hakika kupitia bidii zako MUNGU atakufungulia njia,lakini pia dumu sana ktk naombi maana ktk juhudi zako kamwe shetani hataacha kujitukuza,lakini kupitia MUNGU yote mema yanawezekana nawapenda sana mmwah

Post a Comment

أحدث أقدم