WATOTO WASHEREHEKEA SIKUKUU YA MWAKA MPYA KWA AINA YAKE DAR LIVE

Watoto wakijiachia katika bwawa la kuogelea ndani ya Dar Live leo katika kusherehekea Mwaka Mpya 2015.
Watoto wakiburudika katika bembea la Dar Live leo.
 
 Profesa Ras Kikkoman Mpembenwe akiongoza burudani za watoto ndani ya Dar Live.
Watoto wakizidi kujiachia ndani ya Dar Live kwa michezo mbalimbali.

Post a Comment

أحدث أقدم