Taswira baada ya ajali hiyo.
Wananchi
wakiwa eneo la ajali hiyo. Basi la abiria aina ya Toyota Coaster lenye
namba za usajili T 932 AFU linalofanya safari zake kati ya Nanenane na
Ng'ong'ona mkoani Dodoma limepata ajali leo baada ya kuligonga treni na
kupinduka maeneo ya Benki Kuu mkoani humo.
Post a Comment