Amtwanga mume kichwa cha nguvu na kumuua sawia

Kamanda Mwaruanda

MWANAMKE mmoja Clemencia Nowa (50) anashikiliwa na polisi baada ya kumpiga  kichwa mume wake na kumsababishia umauti. wanandoa hao ni wakazi wa kijijini cha Miangalua  wilayani Sumbawanga koani Rukwa.  
Source:Mchangiaji Rukwa

Post a Comment

أحدث أقدم