Chuchu Hans Ajitoa Fahamu, Adai Johari Hakuwahi Kuwa Mpenzi wa Mwigizaji Ray

Mrembo na Mwigizaji Chuchu Hans Amefunguka mengi kuhusu mahusiano yake na Vicent Kigosi aka Ray Kwenye Kipindi cha Take One cha Zamaradi Clouds TV ..Kati aliyofunguka ni Haya Hapa Chini:
Kwanza Amesema yeye na Ray Bado ni wapenzi Japo kuna tetesi kuwa Wameachana Kimya Kimya
Pili Amejitoa fahamu na kusema kuwa JOHARI hakuwahi kuwa Mpenzi wa RAY yeye anachojua walikuwa washiriki wa Biashara tu katika Kampuni ya JR...

Post a Comment

Previous Post Next Post