Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akiongoza kikao siku moja cha Wizara ya Habari,Utamaduni,Utalii
na Michezo kilichozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo
kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar jana,[Picha na Ikulu.]
Baadhi ya
Watendaji wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo na Idara zake
mbali mbali wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo Said Ali Mbarouk
(hayupo pichani) alipokuwa akitoa taarifa ya Wizara ya utekelezaji wa
mpango kazi kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa
Ikulu Mjini Zanzibar jana chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
Waziri wa
Habari,Utamaduni ,Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk alipokuwa akitoa
taarifa ya Wizara ya utekelezaji wa mpango kazi kwa kipindi cha mwezi
Julai-Disemba 2014 jana katika kikao maalum kilichofanyika katika
ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Katibu
Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abduhamid Yahya
Mzee (kulia)
إرسال تعليق