Mwigizaji wa filamu mwenye vituko vya aina yake, Faiza Ally ambae ni
mama wa mtoto moja, aliezaa na Mbunge wasasa wa Mbeya mjini, ameyasema
hayo akiwa visiwani Zanzibar kwenye mapumziko mafupi.
Mwigizaji huyu ambae mara kabdhaa amekuwa akijisifia kwa kuwa na FIGA nzuri akidai hata baada ya kuzaa bado umbo na mvuto wake bado upo pale pale amesema angekuwa na uwezo wa kipesa angezaa watoto wengi zaidi kiasi cha kufikisha idadi ya wachezaji wa timu ya mpira kwa sababu kuwa mama ni kitu kizuri sana kwake.
“Kuwa mama ni kazi poa sana- naipenda sana yaani ningekua na uwezo wa kipesa ningezaa team ya mpira”

Mbali na watu kuendelea kumshambulia kuhusu uvaaji wa nguo zake akiwa na
mtoto wake mwananamama huyu ameonekana ni mtu mwenye kufanya kile
anachokiamni na sio watu wanataka nini.
Jionee baadhi ya picha hapo juu akiwa na mtoto wake ufukweni.

Post a Comment