Huddah Monroe ameshajikubali kuwa ni ‘good girl gone bad’ na ndio maana
haoni tatizo kuweka picha akiwa kitandani kama alivyozaliwa
Mrembo huyo wa Kenya amepost picha kwenye akaunti yake ya Facebook
akiwa kitandani huku akiwa amejifunika na shuka sehemu ndogo tu ya mwili
wake kuficha sehemu ny*ti.X
Mashabiki wake hawakusita kumchana.
“Dnt you fear God?oh I like your beauty and en everything mash
Allah but this idea of being naked subhanallah stop it.You are a good
girl hudda you can change if you want,” aliandika Shankaroon A. Mohammed.


إرسال تعليق