Mwigizaji Lulu Michael Ambae sasa Ameamua kwa moyo mmoja kurudi Shule
pale chuo cha Serekali cha Magogoni Amehabarisha na Kutuambia ni kweli
Darasani anafanya vizuri na kuwapita wenzake kwenye mitihani kama
tulivyosikia na Siri yake moja kubwa ni
kujisomea hasa usiku wakati wengine wamelala , lulu
Michael amesema kwa sasa starehe ameweka pembeni kabisa na kawaida
analala saa saba usiku ....
Hongera lulu Kazi Buti
Hongera lulu Kazi Buti

إرسال تعليق