Madonna akionyesha makalio yake.
MWANAMUZIKI mkongwe wa muziki wa Pop nchini Marekani asiyeishiwa
vituko, Madonna jana ametoa kali nyingine baada ya kuinua juu gauni lake
na kuonyesha makalio yake wakati akipiga picha za red carpet kwenye
zoezi la utoaji Tuzo za 57 za Grammy.
Madonna mwenye miaka 56, aliinua gauni na
kuacha makalio yake wazi wakati wa zoezi hilo lililofanyika usiku wa
kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Staples Centre jijini Los Angeles,
Marekani. 

Madonna akipozi kwenye red carpet.
إرسال تعليق