"Mimba my Foot" Zari Ammind Wema Sepetu Baada ya Kumkejeri Ujauzito wake

Wema anaamini kuwa Mimba ya Zari ni Geresha tu, Hakuna Lolote! 
Hii ni kutokana na picha iliyowekwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Miss Tanzania huyo wa Mwaka 2006 na Ex wa Diamond Platnumz

Picha hiyo haipo tena ila Zari alifanikiwa kuipata na kuiweka katika kurasa wake wa Instagram na kuelezea alivyosikitishwa na Kauli ya Wema kwenye picha yake Zari isemayo "Mimba my Foot"

Post a Comment

Previous Post Next Post