Daraja la posta
lililopo karibu na stesheni ya treni ya Mjini Kigoma likiwa limesombwa na maji
kufuatia mvua kubwa iliyonyesha kwa takriban masaa mawili na nusu na kuleta
uharibifu wa miundo mbinu na kubomoa nyumba mbalimbali za wakazi wa manispaa ya
Kigoma Ujiji.
|
Post a Comment