Mwakilishi magomeni Zanzibar afariki ghafla

Mwakilishi wa jimbo la Magomeni Mheshimiwa Salmin Awadh amefariki ghafla akiwa kwenye kikao cha CCM Zanzibar. Salmin pia ni mnadhimu mkuu wa baraza la mapinduzi na mjumbe wa kamati kuu wa chama cha mapinduzi.
- ITV

Post a Comment

Previous Post Next Post