الصفحة الرئيسيةKITAIFA Mwakilishi magomeni Zanzibar afariki ghafla Hisia فبراير 19, 2015 0 Mwakilishi wa jimbo la Magomeni Mheshimiwa Salmin Awadh amefariki ghafla akiwa kwenye kikao cha CCM Zanzibar. Salmin pia ni mnadhimu mkuu wa baraza la mapinduzi na mjumbe wa kamati kuu wa chama cha mapinduzi. - ITV
إرسال تعليق