SAD NEWS: Pumzika kwa amani Baba mzazi wa PRINCE DULLY SYKES (Mzee ABBY SYKES)
Hisia0
Anaitwa Abby Sykes, baba mzazi wa msanii wa bongo fleva Dully Sykes,
muda mfupi uliopita zilienea habari kuwa amefariki lakini muda
unavyozidi kwenye habari hizo zinasemekana ni kweli mzee wetu ametutoka
Hii ni post aliyoipost Instagram mtoto wa kike wa marehemu Sykes.
DJChokaMusic bado inafuatilia chazo cha kifo hiki na msiba uko wapi.
إرسال تعليق