MSANII wa kitambo katika
anga la filamu Bongo, Happy Nyatawe ‘Suzy’ amesema katika suala la
uhusiano siku zote anampenda mwanaume anayejua kudeka.
Msanii wa kitambo katika anga la filamu Bongo, Happy Nyatawe ‘Suzy’.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Suzy alisema mwanaume anayejua
kujidekeza ndiye mzuri lakini ambaye anajidai ni mgumu na kuleta
masharti yeye siyo fani yake kabisa.
“Mwanaume mwenye masharti kama ugonjwa wa kisukari simtaki, mwanaume
anayedeka ndiyo mpango mzima, halafu anayependa kuvaa kanzu hapo ndiyo
atanimaliza kabisa,” alisema Suzy.
Post a Comment