Vurugu Ilula Mkoani Iringa, Mwananchi afariki, Kituo cha Polisi chachomwa moto!

Kituo cha polisi cha Ilula mkoani Iringa kimechomwa na wananchi wenye hasira kufuatia polisi kumuua mwanamke mmoja mfanyabiashara ya mama ntilie wakati wa msako maalum ulioendeshwa na jeshi la polisi dhidi ya wafanyabiashara hao.
 
Inasemekana wakati wa purukushani za kukimbia ndipo polisi mmoja alimchota mtama huyo mama wakati anakimbia na kusababisha mama wa watu kuanguka na kufariki hapo hapo.

Post a Comment

Previous Post Next Post