Kituo
cha polisi cha Ilula mkoani Iringa kimechomwa na wananchi wenye hasira
kufuatia polisi kumuua mwanamke mmoja mfanyabiashara ya mama ntilie
wakati wa msako maalum ulioendeshwa na jeshi la polisi dhidi ya
wafanyabiashara hao.
Inasemekana
wakati wa purukushani za kukimbia ndipo polisi mmoja alimchota mtama
huyo mama wakati anakimbia na kusababisha mama wa watu kuanguka na
kufariki hapo hapo.

إرسال تعليق