Wema Awashukia wanaosema wanachukia wakati wanapeleleza anachokiweka mtandaoni!!
Mrembo na
mwigizaji wa filamu ambae kwasasa amekuja kivingine na mwingine, Wema
Sepetu amewatolea uvivu baadhi ya watu wanaosema hawa mpendi na
kumchukia lakini bado wanapeleleza na kumfualitia kila anachokiweka
mtandao, na kutumia akaunti feki kumchafua kwa maneno
machafu....amewaita jina baya na kuwambia wanatamani kuwa kwenye matawi
yake....
Nadhani ujumbe umefika!!!
إرسال تعليق