Diamond na Zari watarajia Kupata Mtoto wa Kike,Zari athibitisha

Zari the Bosslady ambaye anatarajia kuwa mama wa mtoto wa nneambaye baba yake ni Diamond Platnumz,ameweka picha ambayo imezua hisia kuwa ni ishara ya jinsi ya mtoto wanayetarajia kumpata.

Kupitia akaunt yake ya Instagram Zari ameshare picha ya kivazi cha mtoto wa kike kilichoandikwa 'Princess'katika kipindi hiki ambacho ni mjamzito na kufanya watu wengi waamini huenda ameshafahamu jinsia ya mtoto wanayetarajia kumpata na staa wa 'Nitampata wapi' Diamond Platnumz

Hakuandika chochote kwenye picha hii zaidi ya kuweka emoji ya kisura chenye makopa kwenye macho.

Zari ni mama wa watoto watatu wa kiume aliowapata na mume wazamani Ivan

Post a Comment

أحدث أقدم