Kiongozi wa chama cha kiislamu chenye msimamo wa wastani nchini Tunisia
Ennadha anasema kuwa nchi hiyo itaendela kukabiliwa na vitisho ikiwa
taifa jirani la libya litaendelea kukumbwa na mzozo.
Rached
Ghannouchi alikuwa akizungumza na BBC baada ya watu waliokuwa wamejihami
kuwaua watu 23 wengi watalii wa kigeni kwenye makavazi ya Bardo mjini
Tunis.
Kundi la Islamic State lilisema kuwa wapiganaji wake waliendesha mashambulizi hayo.
Wapiganaji hao wanaripotiwa kupata mafunzo nchini Libya.(BBC)
Post a Comment