Mrembo huyo akiwa kwenye gari.Tukio hilo lililovuta umati wa watu lilitokea juzikati maeneo ya Sinza Makaburini, jijini Dar wakati mrembo huyo akiwa na mpenzi wake ikidaiwa kuwa walitokea katika nyumba ya kulala wageni.
Imeelezwa
kuwa, mpenzi wa mrembo huyo aliyekuwa akiendesha gari, alimgonga dereva
bodaboda ndipo madereva bodaboda walipoungana na kumfanyia fujo jamaa
pamoja na mrembo wake.Maneno yaliyowekwa katika picha si halisi bali ni
kama wanasema, yamepachikwa kiburudani zaidi.
إرسال تعليق