Haya Ndio maneno ya mchekeshaji Baba Levo baada ya kwenda kwenye hii nyumba ya Diamond na kukuta nakshi za gold bafuni

Kama ulipitwa na Fix za Baba Levo ambae huwa anasikika kwenye Ampifaya ya CloudsFM Jumatatu mpaka Ijumaa, moja ya fix zake wiki hii ilikua ni kuhusu nyumba mpya ya Diamond Platnumz ambayo imetengenezwa kwa gharama na kunakshwiwa kwa gold bafuni.
Kupata utani wote wa Baba Levo kuhusu hii nyumba ya Diamond na Wasanii wengine bonyeza play hapa chini mtu wangu.
diamond 2
diamond 3
diamond 4
diamond 5
diamond 6



Post a Comment

أحدث أقدم