Single ya Beyonce 7/11 imeingia tena kwenye headlines baada ya mcheza tenis maarufu duniani Serena Williums kuamua kutumia dakika zake kuiga video ya nyimbo hiyo.
Staa huyo akiwa katika uwanja wa tenis
huko Florida aliamua kutumia nyimbo hiyo akiwa katika maandalizi ya
jarida la Vogue huku akimudu kucheza kama ambayo Beyonce alicheza katika
video yenyewe.

إرسال تعليق