Mtu wa nguvu utakuwa utakuwa umeshaona
kava zinazoenea kwenye mitandao mbalimbali ambazo zikiashiria ujio wa
single mpya ya Shetta unaoitwa Shikorobo akiwa amemshirikisha msanii
kutokea Nigeria Kcee , sasa time hii wanakupa sekunde 15 za kutazama kionjo cha video hiyo mpya.
Video hiyo inatarajiwa kuachiwa kesho March 25 imeongozwa na director God Father wa Afrika Kusini.
إرسال تعليق