Simon
Msuva (kushoto) akimkumbatia Mrisho Ngasa huku Danny Mrwanda. Kulia ni
Danny Mrwanda baada ya kuifungia kimu yake bao la tatu ambapo Yanga
ilishinda 3-1. (Picha zote na Francis Dande)

Mshambuliaji
wa Yanga, Danny Mrwanda akichuana na Damas Makwaya wa JKT Ruvu
(kushoto), katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika
Uwanja wa Taifa leo.
Msuva akimtoka beki wa JKT Ruvu, Mohamed Faki akiambaa na mpira.
Mrisho Ngasa (kushoto) akichuana na Mohamed Faki.

Damas Makwaya akimtoka Danny Mrwanda.
Wachezaji wa Yanga wakishagilia baada ya kuifunga JKT Ruvu.
Raha ya ushindi.
Uleeeeeeeeeeeeee.
Yanga mwendo mdundo.
Mshambuliaji
wa Yanga, Simon Msuva akimpigia saluti Mrisho Ngasa mara baada ya
kuifungia timu yake bao la tatu dhidi ya JKT Ruvu katika mchezo wa Ligi
Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar
es Salaam. Yanga imeshinda 3-1.
Mashabiki wa Yanga wakishangilia.

إرسال تعليق