Hizi Ndio Picha za ‘Bethidei’ Pati ya Meneja wa Wema, Martin Kadinda Iliyofanyika Jana






Siku ya jana ilifanyika bonge la sherehe ndani ya MOG bar &restaurants zamani nyumbani lounge, ilikuwa ni meneja wa staa Wema Sepetu, Martin  Kadinda alikuwa akisherekea siku yake ya kuzaliwa, Mastaa na watu wake  wakaribu walikuwepo ndani ya nyumba.
Jionee baadhi ya picha za tukio zima hapo juu.

Post a Comment

أحدث أقدم