Hot News:- Watu Wawili Wakamatwa Na Fedha Bandia Tsh. Milioni 2 na Elfu Ishirini - Simiyu(Bariadi)

Watuhumiwa wa Fedha Bandia Wakiwa Wamekamatwa
 Watu wawili wamekamatwa jioni ya leo wakiwa na fedha bandia kiasi cha Shilingi Milioni Mbili na Elfu Ishirini(Tsh. 2,020,000/=) Mkoani Simiyu Wilaya ya Bariadi katika Kijiji cha Old Maswa Walipokuwa wanajaribu kuweka Fedha Hizo kwa Wakala wa Mpesa Ndugu. Kassian Ramadhani Luhende, 
Tukio Hilo limetokea Leo tarehe 24.03.2015 Majira ya Saa 11 Jioni
Kutoka Kushoto ni Wakala wa M-Pesa Ndugu Cassian Ramadhani, Katikati Mtendaji wa Kijiji - Maarufu kwa Jina la Limbe, Na Askari Wakihesabu Fedha Walizofanikiwa kuzikamata.

Post a Comment

Previous Post Next Post