Hatimaye Wema Sepetu kaamua kufunguka kuhusu Ugomvi Wake na Kajala.
Yaani kamwaga ubuyu wote! kaongeaaaaaaaaa mpaka mwisho.
Amedai Kajala ni miongoni mwa marafiki wabaya aliowahi kuwa nao na kasema
anajuta sana kumsaidia Kajala,ile kumlipia kumtoa jela anasema anaregret
vibaya sana.
Msikilize mwenyewe akiongea

إرسال تعليق