Mkewe Kanye West Kim Kardashian ambaye picha zake za utupu ziliwekwa katika mtandao wa Twitter
Msanii wa muziki Kanye West ameweka msururu wa picha za utupu wa mkewe Kim Kardashian West katika mtandao wake wa Twitter.
Nyota
huyo wa muziki wa rap aliwagawia picha hizo takriban watu millioni
11.7,wanaomfuata katika mtandao wa twitter pamoja na ulimwengu mzima.
Picha hizo zinamuonyesha mkewe Kim kardhashian akijiziba uchi wake na mikono.
Katika
ujumbe wake msanii huyo aliyeimbia wimbo kwa jina ''Yeezus'' alijigamba
kuhusu hatua zilizopigwa na mkewe katika Runinga ya Reality TV na
kusema ana bahati kuwa naye.
Kim Kardashian
Kim Kardashian
Katika ujumbe mmoja ambao
uliwekwa na picha ya uchi ya Kardashian akijiziba kifua chake na
mikono,Kanye West aliandika ''NINA BAHATI''.
Ujumbe huo ulifuatiwa
na mwengine pamoja na picha ya Kim ukimpongeza Kardashian kwa kupata
watu millioni 30 katika mtandao wake wa kijamii

إرسال تعليق